x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Moto sokoni Ngara: Wafanyabiashara wapoteza mali, hitilafu ya umeme yakisiwa kuwa chanzo

02, Nov 2020

Wafanyabiashara katika eneo la biashara la Ngara wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza biashara zao usiku wa kuamkia leo. Waathiriwa wengi wamekuwa wakitegemea biashara hizo kukimu familia zao na sasa wameachwa bila riziki.

Feedback