2nd November, 2020
Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga hii leo wamejumuika na wabunge na maseneta huko Naivasha panapojadiliwa ripoti ya BBI. Seneta wa Siaya James Orengo alisoma mafikiano ya mkutano huo ambapo kwa kauli moja ripoti hiyo imeungwa mkono.