x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kina mama kutoka jamii ya somali wamependekeza vita dhidi ya ukeketaji vipelekwe hadi mashinani

31, Oct 2020

Kina mama kutoka jamii ya somali wamependekeza vita dhidi ya ukeketaji vipelekwe hadi mashinani kupunguza hali ya vita hivyo kusalia midomoni jijini. kina mama hao pia wamepata uungwaji mkono na ubalozi wa austria nchini kenya kupambana na ukeketaji ambao huwasababishia kina mama matatizo ya kiafya na kisaikolojia

Feedback