x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wagonjwa Waliopuuzwa:Zaidi ya wagonjwa 18 wageuza KNH makao yao baada ya kutelekezwa na wapendwa wao

31, Oct 2020

Ingawa hospitali ni sehemu ambayo watu huenda kutafuta matibabu, kwa wengi sehemu hugeuka na kuwa nyumbani na mahali salama ambapo wahahisi upweke. katika hospitali ya kenyatta kuna wagonjwa zaidi ya kumi na nane ambao wametelekezwa na wapendwa wao na hospitali hio sasa imegeuka kuwa makao yao

Feedback