×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Florence Muia,35 ajiunga na JKUAT baada ya masomo yake kukatizwa kwa miaka 20 alipoingia kwenye ndoa

30th October, 2020

Mwanamke wa umri wa miaka 35 kwa jina florence muia Anafuraha isiyo na kipimo kwa kupata mwaliko wa kujiunga Na chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha kenyatta baada Ya masomo yake kukatizwa kwa muda wa miaka ishirini Alipoingia kwenye ndoa ya mapema. Mwanahabari wetu lofty Matambo anaangazia safari ya florence, safari ya matumaini Na msukumo wa kutagka kuwa daktari

.
RELATED VIDEOS