×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Magoha aonya dhidi ya pupa huku akifutilia mbali uwezekano wa shule kufungwa tena

30th October, 2020

Waziri wa elimu, Profesa George Magoha, amefutilia mbali Uwezekano wa shule kufungwa tena kwa sababu ya Ongezeko la maambukizi ya COVID-19 akizungumza katika Kaunti ya kisii baada ya kuzuru shule ya sekondari ya Wasichana ya kereri, waziri magoha alisema licha ya idadi ya Maambukizi kupanda, wanafunzi wa gredi ya nne, darasa la Nane na kidato cha nne wataendelea na masomo yao. Aliongeza kwamba ingawa serikali ipo chini ya shinikizo la Kufungua shule zote, uamuzi kuhusu suala hilo utafanywa Baada ya majadiliano na wadau.

.
RELATED VIDEOS