×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi wa darasa la 8 adaiwa kujitia kitanzi kwa sababu zisizojulikana kule Kisii

30th October, 2020

Wakazi wa mtaa wa mabanda wa chogoo viungani mwa mji Wa kisii wameachwa na majonzi baada ya mwanafunzi Mtahiniwa wa KCPE kudaiwa kujitia kitanza kwa sababu Zisizojulikana mwanafunzi Huyo wa umri wa miaka 15 alikuwa mtahiniwa katika shule ya Msingi ya kianyabinge na alidaiwa kujitia kitanzi muda mfupi Baada ya kurejea kutoka shuleni alikokuwa ameambiwa Arudi nyumbani kwa ajili ya sare ya shule. Mamake Mwanafunzi huyo diana kemunto alisimulia tukio hilo ambalo Limemwacha kwa mshtuko asijue kwa nini mwanawe aliamua Kuchukua hatua hiyo.

.
RELATED VIDEOS