×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wandani wa Rais na Raila wasema kuwa mswada wa marekebisho ya katiba utawasilishwa jinsi ilivyo

30th October, 2020

Wandani wa rais uhuru kenyatta na kinara wa odm Raila Odinga wanasema kwamba mswada wa marekibisho ya katiba Utawasilishwa kwa wakenya kwa kura ya maamuzi jinsi Ulivyo ..na kuongeza kwamba huenda shughuli hiyo ikamilike Kufikia mwezi machi au aprili mwaka ujao.Katika mahojiano tofauti, naibu mwenyekiti wa jubileee david Murathe na katibu mkuu wa odm ediwn sifuna wanasemaKwamba shinikizo la baadhi ya viongozi wanaotaka Mazungumzo zaidi kuhusu bbi ni njama ya kusambaratisha Kura ya maamuzi na kamwe haitafaulu.

.
RELATED VIDEOS