.
30th October, 2020
Naibu Rais william Ruto amekosoa baadhi ya viongozi kwa Kushambulia taasisi zinazostahili kuwa huru wakati joto la Siasa linapoendelea kushika kasi nchini. Usemi wake ruto Unaonekana kumlenga kinara wa ODM Raila Odinga ambaye Sasa hana raha na bajeti ya iebc ya bilioni 14 kuendesha kura Ya maoni ya bbi. Wakati uo huo viongozi wengine wa ODM pia Wameelekeza makombora upande wa IEBC.