.
30th October, 2020
Watu wawili waliohusishwa na shambulizi la kigaidi la Westgate wamefungwa. Wawili hao wamepewa vifungo Tofauti kulingana na vile mahakama ilivyoelezwa makosa Yao Mtu wa kwanza amefungwa kifungo cha miaka 26 na wa pili Miaka 11 gerezani