.
26th October, 2020
Timu ya magongo ya Wazalendo inazidi kunoa makali yake ikijiandaa kwa msimu mpya wa ligi kuu ya magongo nchini. Ikilinganishwa na msimu uliopita ambapo wazalendo walimaliza katika nafasi ya pili, kuna matumaini ya kupata matokeo bora hata zaidi.