Viongozi wa Makanisa watoa maoni yao kuhusu umuhimu wa BBI kuchukuliwa kama chombo cha amani nchini
26th October, 2020
Kwingineko katibu wa baraza la makanisa nchini, NCCK Cyrus Kinyanjui miongoni mwa viongozi wengine wa makanisa wamepaza sauti zao kuhusu umuhimu wa ripoti ya BBI kuchukuliwa kama chombo cha amani nchini.