Rais Uhuru azuru Nyeri huku akisisitiza kuunga mkono mchakato wa kuunganisha taifa kupitia BBI
25th October, 2020
Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuunga mkono mchakato wa kuunganisha taifa kupitia BBI. Kenyatta amesema hayo baada ya kuzuru kaunti ya nyeri alipohudhuria ibada yakanisa la PCEA, japo akaepuka masuala ya siasa.