×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaskauti wa Kenya: Vijana wahimizwa kujiunga na Skauti ili kuimarisha maadili katika jamii

21st October, 2020

Wito umetolewa kwa wana Skauti nchini kujitolea zaidi katika shughuli za ujenzi wa taifa. Wakizungumza baada ya sherehe huko Kajiado, viongozi wa Skauti nchini wamedai kuwa wanachama wake ni kielelezo chema cha uigwa katika uimarikaji maadili. Aidha waliwataka vijana zaidi kujiunga na vyama vya maskauti ili kuiimarisha maadili yao wakiwa wadogo.

.
RELATED VIDEOS