21st October, 2020
Watu wawili wananoshukiwa kuwalaghai wananchi wakijifanya maafisa wa uhamiaji mtandaoni wamefikishwa mahakama ya Kiambu. Wawili hao Joseph Karanja na Dennis Muindi walitiwa mbaroni na maafisa wa polisi siku ya jumatatu.
21st February, 2026
23rd January, 2026
14th January, 2026
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!