x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wahudumu waambukizwa: KMPDU yataka wapewe vifaa vya kazi, watishia kugoma iwapo hawatapewa

21, Oct 2020

Wahudumu wa afya mia mbili kumi na saba wameambukizwa virusi vya korona katika mwezi huu wa Oktoba. Katibu mkuu wa muungano wa madaktari nchini daktari Chibanzi mwachonda amesema kuwa ongezeko la maambukizi kwa wahudumu wa afya ni kutokana na maapuza ya serikali. Sasa wametoa ilani kwa wizara ya afya iwapo hawatatimiza matakwa yao kama vile kuongeza idadi ya madaktari watachukua mkondo wa mgomo.

Feedback