Chifu maarufu Nakuru aaga dunia leo, Francis Kariuki aliugua kuanzia jana
21st October, 2020
Chifu wa eneo la Lanet Umoja Francis Kariuki aliyejulikana na wengi mtandaoni kama “the tweeting chief” ameaga dunia adhuhuri ya leo katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Nakuru.