×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkono wa Uhisani: Kutana na Dan Owuor anayefaa watoto wasiojiweza katika mtaa wa Kibra

20th October, 2020

Zaidi ya wasichana 2000 kutoka familia maskini katika kaunti za isiolo, marsabit na samburu watapokea sodo za kutumia kwa mwaka mzima, kama njia moja ya kuhakikisha wanaendelea na maisha yao inavyofaa hata wakati wa hedhi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo, mwelekezi wa mradi wa maendeleo wa nawiri john leshalote, wasichana wengi kutoka familia maskini wamekuwa wakitegemea kupewa sodo wakiwa shuleni, hali hiyo imewafanya kutaabika sana hasa wakati huu ambao wamesalia nyumbani kwa kipindi kirefu kutokana na korona. 

 

.
RELATED VIDEOS