×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bongo la Biashara: Mti wa mkunazi unayoaminiwa kutumiwa kufukuza majini

20th October, 2020

Mtazamaji je, unaufahamu mti wa mkunazi? Ni mmea unaopatikana sana ukanda wa pwani ila mmea huo  umetajwa kuwa wa kipekee. Kunao wanaoutambua kwa matunda yake madogo yaitwayo kunazi na wengine kuutumia kishirikina wakidai unayafukuza majini ndiposa wachawi hawaupendi mti huu.

 

.
RELATED VIDEOS