×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kocha wa Harambee Stars Francis Kimanzi aondoka baada ya makubaliano na FKF

20th October, 2020

Mkufunzi wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Francis Kimanzi ameacha kibarua chake na timu hiyo. Shirikisho la kandanda nchini (FKF ) limethibitisha uamuzi huo baada ya makubaliano ya pande zote husika. Kimanzi ameacha kazi pamoja na naibu wake Zedekiah Otieno na mkufunzi wa makipa         Lawrence Webo.

 

 

.
RELATED VIDEOS