Wakenya walalamikia ugumu wa maisha huku wakisema hawana lolote la kusherekea siku ya mashujaa
20th October, 2020
Sherehe za mashujaa mwaka huu, hazijawa na mbwembwe za namna yake kwa wakenya wa kawaida huku wengi wao wakilalamikia hali ngumu ya maisha. Anavyotuarifu Mohammed Awal wengi wao hawana lolote la kusherehekea sikuu hii.