Rais Uhuru asisitiza majadiliano ya kikatiba taifa likisubiri ripoti ya BBI
20th October, 2020
Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameongoza taifa kwa maadhimisho ya siku kuu ya 57 ya mashujaa. Na anavyoarifu mwanahabari wetu murimi mwangi kutoka Kisii, rais Kenyatta kwa mara nyingine amesisitizia umuhimu wa nidhamu siasani.