x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanafunzi wapata sababu ya kutabasamu baada ya Shule yao ya Plesian kugeuzwa na kuwa ya bweni

17, Oct 2020

Wanafunzi wanaoishi kwenye maeneo ya mpaka wa kaunti za Baringo, Samburu na Laikipia wana sababu ya kutabasamu baada ya shule yao ya msingi ya plesian kugeuzwa na kuwa ya bweni ili kuwawezesha kukaa shuleni hata wakati wa likizo. hapo mbeleni ukosefu wa usalama na ukame uliwafanya wanafunzi wengi kuacha shule na kuhamia mahala palipo salama.  

Feedback