x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Siasa za 'Hustler': Naibu Rais Ruto pamoja na viongozi wa mrengo ya tangatanga wazuru eneo la Meru

17, Oct 2020

Naibu Rais William Ruto hii leo ameendeleza siasa zake za hustler nation katika kaunti ya Meru. Ruto aliyekuwa ameandamana na viongozi wengine wa mrengo wa tanga tanga wamekashifu watu ambao wamedai wanatumika kuzua vurugu mikutanoni. George Maringa anaarifu zaidi.  

Feedback