x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ibada ya wafu ya vijana wawili waliofariki Murang’a mapema mwezi huu imefanyika mjini thika

16, Oct 2020

Ibada ya wafu ya vijana wawili waliofariki kwenye purukushani eneo la kenol, murang’a mapema mwezi huu imefanyika mjini thika kabla yao kuzikwa kwao maeneo hayo. christopher mungai na peter mbothu walifariki baada ya ghasia kutokea kabla ya naibu rais william ruto kuongoza hafla ya kanisani. hata hivyo ingawa wanasiasa hawakuwa kwenye ratiba, bado baadhi yao kama gavana james nyoro na mtangulizi wake william kabogo walijitokeza

RELATED VIDEOS


Feedback