x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Walimu wasio wenyeji wacharazwa na kufukuzwa kwenye mchakato wa ajira za TSC, huko Busia

14, Oct 2020

Zoezi la kuwaajiri walimu katika kaunti ndogo ya Bunyala eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia lilikumbwa na vurumai baada ya wakazi wa eneo hilo kuingilia kati na kuwafurusha baadhi wa walimu waliokuwa wamejitokeza kwa shughuli hiyo kutoka nje ya kaunti ndogo ya Bunyala. Baadhi ya waliofurushwa wamelaani kitendo hicho na kukitaja kuwa dhuluma kwao baada ya kutuma maombi ya kazikwa njia ya mtandao na kupewa idhini ya kuhudhuria shughuliya kaguliwa kwa stakabadhi zao.

Feedback