9th October, 2020
Wizara ya elimu imetoa mgao wa fedha za masomo bila malipo kwa shule za umma za msingi na sekondari. taarifa kutoka katibu wa wizara, dkt belio kipsang, imesema shule za msingi zimepokea jumla ya shilingi bilioni moja nukta mbili nazo za sekondari zikipokea shilingi bilioni kumi na tatu nukta mbili. haya yanajiri huku maandalizi ya ufunguzi mnamo jumatatu yakiendelea. ila upo mkanganyiko wa ni upi mkondo utakaochukuliwa kufuatia agizo la mahakama kwa waziri wa elimu, george magoha, kufanya mazungumzo na wadau kabla shule kufunguliwa