7th October, 2020
Muungano wa makanisa nchini, Evangelical Alliance of Kenya, umeendelea kutoa wito wa kutaka joto la kisiasa kushuka nchini, baada ya rabsha kushuhudiwa katika eneo la kenol Murang'a, katika kanisa moja jumapili iliyopita. Kundi hilo pia limetaka wanasiasa kusita kutumia madhabahu kama jukwaa la kisiasa.