Makovu ya Westgate: Hisia za waathiriwa wa shambulizi kuhusiana na uamuzi wa mahakama
7th October, 2020
Uamuzi wa mahakama wa kuwapata na hatia washukiwa 2 wa shambulizi la Westgate umeibua hisia mseto miongoni mwa wakenya huku waathiriwa wa shambulizi hilo wakisalia tu na kumbukumba