x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shambulio la Westgate: Washukiwa 2 wapatikana na hatia, wengine wawili waachiliwa huru

07, Oct 2020

Mahakama ya nairobi imewapata na hatia washukiwa wawili kati ya watatu waliohusishwa na shambulizi la kigaidi la Westgate lililotokea miaka saba iliyopita. Washukiwa hao Mohamed Ahmed Abdi na mwenzake Adan Hussein Mustafa wanadaiwa kushirikiana kutekeleza ugaidi pamoja na kusaidia wakati wa shambulizi hilo. Mshukiwa mmoja liban abdullahi hata hivyo aliachiliwa huru kwa kukosa ushahidi wa kutosha.

RELATED VIDEOS


Feedback