Mlinzi wa mbuge adaiwa kumuua bawabu kwa kumpiga risasi Kiambu
1st October, 2020
Afisa wa polisi ambaye ni mlinzi wa mbunge wa Githunguri katika kaunti ya Kiambu ametiwa mbaroni kwa madai ya mauaji. Dennis Kinyanjui wainaina anaripotiwa kumpiga risasi na kumuua mlinzi wa eneo la burudani jana usiku na kumuua.