×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii za wanubi na Washona waandikisha vilio, wataka serikali kuwapa uraia rasmi

1st October, 2020

Kwenye matukio yanayoashiria changamoto za baada ya ukoloni barani afrika, jamii za wanubi nchini kenya na ile ya washona sasa zimerejelea wito wa kutaka kupewa rasmi uraia wa kenya. Jamii hizo zinasema kukosa vitambulisho, vyeti vya kuzaliwa na uraia kunawakandamiza kiuchumi, kisiasa na kuwanyima haki za kimsingi.

 

.
RELATED VIDEOS