×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yalaumiwa kwa kutoshughulika kusaidia shule za watoto waishio na ulemavu

1st October, 2020

Wizara ya elimu ikiendelea na mpango wa kuandaa shule kwa minajili ya ufunguzi shule za wanafunzi wanaoishi na ulemavu zimeonekana kutengwa na serkali katika shughuli zake. Baadhi ya shule hizo hazina madawati pamoja na vifaa vingine ambavyo ni muhimu kuzuia msambao wa virusi vya korona huku nyingine zikikosa kabisa ufadhili. 

.
RELATED VIDEOS