×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ruto aongoza mkutano wa Jubilee huku wajumbe wakitaka kujua nafasi yao chamani

1st October, 2020

Naibu rais William Ruto ameongoza mkutano katika makao makuu ya chama cha jubilee eneo la pangani.ingawa ruto hakuwahutubia Wanahabari, wabunge mithika linturi na Alice Wahome wamekanusha madai kwamba kikao hicho kilikuwa cha mapinduzi chamani, na kuelezea kwamba wamemtaka ruto kama naibu kiongozi wa jubilee awaelezee ni lini uchaguzi wa viongozi chamani utafanywa na pia, nafasi yao kama wabunge wa chama kinachoongoza ni ipi baada ya odm kuonekana kuingizwa serikalini.

 

.
RELATED VIDEOS