x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Polisi yamzuia tapeli mlaghai mkuu, mshukiwa atumia rasilimali za serikali

30, Sep 2020

Polisi wanamzuilia jamaa mmoja ambaye anaaminika kuwa tapeli anayetumia vyombo vya serikali kuwalaghai watu pesa. Gordwins Otieno Agutu alitiwa mbaroni na kisha kufikishwa  katika mahakama ya milimani ambapo yadaiwa alikuwa na lengo la kuwalaghai watu fulani pesa nyingi akijifanya afisa wa serikali.

Feedback