Usafiri wa Umma: Wahudumu wafurahia agizo la Rais, waomba mda zaidi kuongezwa sekta yao
30th September, 2020
Wahudumu wa usafiri wa Umma wa masafa marefu wamepongeza hatua ya kupunguzwa kwa muda wa kafiu ya usiku. Hata hivyo, wanasema bado biashara zao zitaendelea kupata pigo kutokana na athari za Korona.