.
30th September, 2020
Kizaazaa kilitanda katika mahakama moja jijini Mombasa baada ya mshukiwa wa ulawiti kujaribu kumshambulia hakimu anayesikiza kesi yake. Maafisa wa Magereza walilazimika kumzuia Ismael Mustafa anayedaiwa kumlawiti mvulana wa miaka mitatu.