×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magavana wampinga CJ: Jaji mkuu apata pingamiuzi zaidi kuhusu kuvunjwa kwa bunge

25th September, 2020

Baraza la magavana limetangaza kuwa litawasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya jaji mkuu kumshauri Rais Kenyatta kuvunjilia mbali bunge kwa kushindwa kutekeleza sheria ya uawa wa kijinsia. viongozi wakitofautiana kuhusu kauli ya maraga katika hafla aliyohudhuria na kufungua jengo jipya la mahakama kuu katika kaunti ya kakamega. 

     .


 

.
RELATED VIDEOS