×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandamano KNH: Wafanyakazi waandamana hadi SRC wakilalamika mazingira duni ya Kazi

25th September, 2020

Wafanyakazi katika hospitali ya kitaifa ya kenyatta   waliandamana mpaka ofisi za tume ya kuratibu mishahara nchini (SRC) kutaka mishahara yao iratibiwe kulingana na mkataba ulioafikiwa mwaka wa elfu mbili kumi na mbili.wafanyakazi hao kutoka muungano wa madaktari nchini KMPDU, muungano wa wauguzi na muungano wa wafanyakazi   wa kudheiha, wameipa tume hiyo makataa ya siku mbili 

  kuratibu mishahara la sivyo hawatorejea kazini kuanzia 

     jumatatu.

 
.
RELATED VIDEOS