.
25th September, 2020
Kinara wa chama ODM Raila odinga ametoa kauli  zinazoashiria kumshtumu naibu rais william ruto kwa   pingamizi zake dhidi ya mpango wa BBI. odinga akiongoza mkutano wa kamati ya kitaifa ya utendakazi wa chama hicho  amesema ripoti ya bbi itawasilishwa kwake na rais Uhuru Kenyatta hivi karibuni na inalenga kuibadilisha katiba ili kuiboresha zaidi.