.
23rd September, 2020
Pendekezo la Jaji mkuu David Maraga kuhusu kuvunjiliwa mbali kwa bunge linaendelea kuzua mjadala, washikadau mbalimbali wakitoa maoni kinzani. Shirika la kutetea haki za wanawake FIDA limemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuzingatia pendekezo hilo kwa mujibu wa sheria.