Washukiwa 2 wafikishwa mahakamani, wadaiwa kufanya vipimo ya Virusi vya Covid 19 bila idhini
23rd September, 2020
Washukiwa wawili wanaodaiwa kufanya vipimo ya virusi vya Covid?19 bila idhini wamefikishwa katika mahakama ya Makadara. Inadaiwa wawili hao wamekuwa wakiendesha biashara hiyo katika eneo la industrial area jijini Nairobi.