.
22nd September, 2020
Suala la ufunguzi wa shule na vyuo bado linazidi kuibua hisia mseto, huku shule za sekondari zikionekana kutia jitihada za kujiandaa kwa ufunguzi. Haya yanajiri huku taifa likisubiri tangazo kutoka kwa serikali kuhusu kurejea kwa masomo, ikizingatiwa kuwa sasa visa vya covid19 vimekuwa vikipungua.