x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Siasa za Pokot: Viongozi watoa wito wa amani wakisisitiza umuhimu wake

18, Sep 2020

Huku siasa zikiwa zimechacha nchini baadhi ya viongozi wa kaunti ya west pokot sasa wamekashifu siasa wanazosema zinanuiya kugawanya taifa wakisema zitarejesha nyuma maendeleo kwenye kaunti. Aidha viongozi hao waliokuwa wakizungumza kwenye maadhimisho ya miaka mitatu ya uongozi wa gavana wa kaunti hiyo john lonyangapuo walichukua fursa hiyo kumtetea kufuatia tishio kwamba huenda akatimuliwa kutoka chama cha kanu.   

Feedback