x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kusafisha mto Ngong': Vijana na Viongozi wasafisha mto Ngong', wakisema wanajali mazingira

18, Sep 2020

Vijana na viongozi kutoka kanisa la victory evangelisticministry international, mtaani tassia hapa nairobi, wametoa wito kwa wakazi wa nairobi na vitongoji vyake kudumisha  usafi wa mazingira. Wameyasema hayo baada ya kuongoza  shughuli za kuusafisha mto ngong’.

Feedback