x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Kaunti ya Mandera wakumbwa na uhaba wa maji, wanang'ang'ania kisima moja na mifugo

16, Sep 2020

Wakaazi wa Kaunti ya Mandera wanakabiliwa na tatizo la uhaba wa maji huku wakilazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta bidhaa hiyo muhimu. Wakazi hao sasa wanalalamikia hatua ya serikali ya kaunti kulifumbia macho tatizo hilo wanalosema limewahangaisha kwa muda sasa.

RELATED VIDEOS


Feedback