x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mfumo wa Ugavi: Rais aongeza mgao hadi sh. 366B

16, Sep 2020

Jopo la Maseneta 12 ambalo limepewa jukumu la kutafuta muafaka kuhusu suala nyeti la Ugavi wa Fedha kwa Serikali za Kaunti litaanza vikao vyake rasmi kesho kutathmini ahadi ya Rais Uhuru Kenyatta ya kuongeza mgao huo kutoka shilingi billion 316 hadi shilingi bilioni 366 mwaka ujao wa matumizi ya Fedha.  Jopo hilo limeahidi kuweka bidii ili kusuluhisha mgogoro huo.  Bunge la taifa sasa litawajibika kuweka ahadi ya Rais kwenye sheria ya Ugavi wa Fedha kati ya serikali ya taifa na zile za kaunti, almaarufu division of revenue act, ili kutimiza ahadi ya serikali kwa magatuzi.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback