x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uchaguzi wa FKF: Wagombeaji waendelea kuuza sera

16, Sep 2020

Wagombea viti mbalimbali kwenye uchaguzi wa matawi wa shirikisho la Kandanda nchini wanazidi kupamba kampeni zao kwa kuuza sera zao siku chache kabla uchaguzi kuandaliwa.  Wanachama wanatarajiwa kupiga kura siku ya Jumamosi tarehe 19 mwezi Septemba.

Feedback