×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Magoha asema hana uwezo wa kuamuru tarehe ya kufunguliwa kwa shule

16th September, 2020

Waziri wa elimu Prof George Magoha amekariri kuwa hana mamlaka ya kuamuru ni lini taasisi za masomo zitafunguliwa ila mamlaka hayo ni ya wataalamu wanaoshughulikia suala hili. Magoha alizungumza kwenye shule ya upili ya Kapsisiywa Kaunti ya Nandi wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kima cha shilingi Milioni 100, mradi unaofadhiliwa na mwanariadha maarufu Eliud Kipchoge. Magoha ameendelea kulaumu vyombo vya habari kwa kile ametaja ni kutoa habari za kukanganya.

.
RELATED VIDEOS