.
9th September, 2020
Wizara ya afya leo hii imetoa onyo kwa wachukuzi wa magari ya umma na wanasiasa wanaokiuka sheria za kudhibiti uenezi wa virusi vya korona kwa kukongamana na kubeba abiria kupita kiasi,kwani kwa wanarudisha nyuma hatua zilizokuwa zimepigwa na wizara hio. Haya yanajiri huku Kenya ikirekodi visa 104 vipya vya maambukizi ya Korona kwa saa 24 zilizopita. Aidha vita dhidi ya Korona vinakumbwa na pandashuka baada ya wauguzi kaunti ya Nairobi kutishia kugoma huku wahudumu kaunti ya Embu pia wakidinda kufika kazini